Bingwa mtetezi wa Afcon Algeria amezidi kuweka u-championi wake rehani baada ya jana usiku kupokea kichapo cha vaom 1-0 dhidi ya Equatorial Guinea

 


Esteban Obiang ndiye muuaji aliimaliza Algeria dakika ya 70   ambayo imesheheni mastaa lukiki wakiongozwa na nyota wa Manchester City Riyad Mahrez

 

Kipigo hicho kinawafanya Algeria kuwa na mlima mkubwa a kupanda kwenye mechi ya mwisho ya E dhidi ya Ivory Coast ambayo ni lazima washinde ili kuweza kufuzu kwa hatua ya robo fainali.

 

Mchezo mwingine wa kundi hilo ulishuhudia Ivory Coast ikilazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Sierra Leone.