Klabu ya @simbasctanzania imemtambulisha kiungo mshambuliaji raia wa Ghana Augustine Okrah akitokea Bechem United.

Okrah amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia wekundu wa msimbazi Simba.


Msimu uliopita akiwa na timu ya Bechem amecheza mechi 31 akifanikiwa kufunga magoli 14 na kutoa Assist 8.

Licha ya kucheza kama kiungo mshambuliaji Okrah ana uwezo mkubwa wakutikisa nyavu.