Polisi mjini Free Town nchini Sierra-Leone wamekesha kulinda nyumba ya mshambuliaji wa timu ya Taifa ya nchi hiyo Kei Kamara aliyekosa penati kwenye mchezo dhidi ya Equatorial Guinea.



Mashabiki hao walitaka kuichoma moto nyumba hiyo kwasa babu tu mchezaji huyo alikosa penati na kusababisha timu yao ya Taifa kutolewa kwenye michuano ya AFCON huko nchini Cameroon.




Sierra Leone imemaliza nafasi ya tata ikiwa na ponti 2 ikitoa michezo miwili na sare moja.