Liverpool imefanikiwa kuingia hatua ya fainali ya Carbao Cup
baada ya kuifunga Arsenal kwa mavao 2-0 mchezo uliopigwa jana usiku Januari 20, kwenye dimba la
nyumbani la Arsenal, Emirates jijini London
Muuaji wa The Gunners alikuwa Diego Jota aliyekwamisha
wavuni mabao yote mawili dakika ya 19’ na dakika ya 77.
Kiungo wa Thomas Partey alitolewa kwa kadi nyekundu dakika
ya 90, na kizua gumzo mtandaini miongoni mwa mashabiki wakiohoji utimamu wa
mwili kwani hajapata nafasi ya kumpunzika
Partey alikuwa na timu ya Taifa ya Ghana ambayo
imetupwa nje kwenye michuano ya Afcon inayoendelea nchini Cameroon
Liverpool itacheza fainali yake ya kwanza katika uwanja wa
Wembely baada ya miaka sita, majogoo wa jiji watacheza na bingwa wa ulaya
Chelsea.
0 Maoni