Staa wa Arsenal na timu ya Taifa ya Gabon
Pierre-Emerick Aubameyang amekutwa na maambukizi ya virusi vya corona mara baada ya
kuwasili nchini Cameroon.
Gabon
Jumatatu Januari 10, itashuka Dimbani kuvaana na Comoro mchezo wa kundi
C ambalo zina Timu za Ghana Pamoja na Morroco.
Huenda Aubameyang akaukosa mchezo huo
muhimu wa kufungua dimba kwenye kundi C
0 Maoni