Timu ya Azam FC imenyakua pointi tatu muhimu baada ya leo Januari 22, kuibuka na ushindi wa goli 4 -0   dhidi ya Tanzania Prisons katika uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga.



Magoli ya Azam yalifungwa na Tepsie 27’, Ismail 69’, Ajibu 71’ na Zulu 83’ Azam Fc imefikisha pointi 21 kwenye msimamo wa ligi kuu ya NBC