Stori kubwa iligonga vichwa vya habari za michezo duniani kote
zinamhusu Luis Suarez anayecheza Athletico Madrid, anatajwa kuwa kwenye rada za Aston Villa ya England.
Kwa mujIbu wa Daily Mail, mwandishi wa habari za michezo wa Hispania Gerard Romero amesema kocha wa Villa Steven Gerrard,amefanya
mazungumzo na mchezaji huyo ambaye walicheza wote Liverpool
Villa chini ya Gerrard inaonekana kudhamiria
kuimarisha kikosi hicho baada hivi karibuni kukamilisha usajili wa kiungo
mshambuliaji wa Brazil Phillipe Countiho kwa mkopo kutoka Fc Barcelona.
0 Maoni