Barcelona imejitosa katika kinyang'anyiro cha kumsajili winga Uhispania Adama Traore kutoka Wolverhampton, winga huyo anawaniwa vikali na Tottenham Hotspurs.
Mazungumzo baina ya vilabu hivyo yanaendelea huku mkataba wa mkopo mpaka mwisho wa msimu ukiwa kipaumbele.
Kabla ya kukimbilia
Uingereza, Traoré aliwahi kuichezea Barcelona kuanzia 2004 hadi 2013.
0 Maoni