Kamati ya Uendeshaji na usimamizi wa Ligi ya Soka Tanzania Bara TPLB imemfungia mchezaji wa Yanga Djuma Shabani michezo mitatu na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji Polisi Tanzania.

0 Maoni