Miamba ya soka barani Ulaya Real Madrid, jana usiku wametwaa ubingwa wa Spanish Super Cup, baada ya kushinda kwa magoli 2-0 dhidi ya Athletic Bilbao.

 


Karim Benzema na Luka Modric walikuwa mashujaa kwenye  mchezo huo wa fainali ilipigwa Saudi Arabia.

 

Huu ni ubingwa wa kwanza kwa kocha Carlo Ancelotti akirejea kwa mara ya pili kwa Los Blancos