Mwenyeji wa michuano ya Afcon, Cameroon amefuzu hatua ya mtoano (16 bora) baada ya kutoka sare ya goli 1-1 na Cape Verde.




Nahodha wa Cameroon Vincent  Aboubakar ameendelea kufamania nyavu baada ya leo kuweka kambani goli dakika 39 likiwa na goli lake la tano kwenye michauano ya mwaka huu.



Aidha, Burkina Faso
 imetinga hatua hiyo baada ya kutoka sare ya goli 1-1 na Ethiopia

 

Cameroon imefikisha alama 7 na Burkina Faso imefikisha alama 4 sawa na Cape Verde wakitofautiana magoli ya kufunga na kufungwa.