Chelsea imeibuka na ushindi kwenye Dabi ya London baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Totenham Hotspurs mchezo wa ligi kuu England ulichezwa jana uisiku dimba la Stamford Bridge.
Vijana wa kocha Antonio Conte huenda wangekuwa mbele kipindi cha kwanza baada ya goli la Harry Kane kukataliwa
kwa madai kuwa alimchezea rafu beki Thiago Silva kabla ya kufunga.
kipundi cha pili Chelsea walirudi kivingine na kufunga Magoli yao kupitia kwa Hakim Ziyech dakika ya 47’ na Mlinzi Thiago Silva dakika ya 55, ushindi
huu wa The Blues unawafanya kufikisha alama 47 ikiwa nafai ya tatu ikiwa imecheza michezo
24 mili zaidi ya Liverpool wenye alama 48 wakicheza michezo 22.
Kwa upande wa Spurs wameshuka mpaka nafasi ya saba na pointi 36 wakicheza michezo 20 pekee.
0 Maoni