Staa wa muziki kutokea nchini Marekani, Christopher Maurice Brown maarufu kama Chris Brown ameripotiwa kupata mtoto wa watatu ambaye ni mtoto wa kike na mrembo mwanamitindo, Diamond Brown.
Mtoto wake huyo anayeripotiwa kuzaliwa Jan. 7 2022 kwa mujibu wa baadhi ya mitandao amepewa jina 'Lovely Symphani Brown'.
Chris Brown tayari ana watoto wawili ambao ni Aeko Catori Brown(2) na binti aitwae Royalty Brown(7).
0 Maoni