Yanga leo Januari 16, imemtambulisha kiungo mshambuliaji Chiko Ushindi akitokea T.P Mazembe ya JAmhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)



Pia Wananchi wamemtambulisha kocha wa Makipa Milton Nienov, ambaye anarudi nchini kwa mara ya pili, ya kwanza alikuwa akiitumikia wekundu wa msimbazi Simba ambapo walitimuliwa Pamoja na kocha mkuu  Didier Gomez Da Rosa.