Klabu ya Klabu ya Manispaa ya Kinondoni KMC leo Januari 6, imeingia mkataba wa mwaka mmoja na kocha Thiery Hitimana kwa ajili ya kukinoa kikosi hicho kinachoshiriki ligi kuu ya NBC Premier League
Hitimana amewahi kuifundisha Namungo kisha kutimkia Simba ambapo alikuwa kocha msaidizi na baada kisha leo kusaini kandarasi ya mwaka mmoja.
Thiery ambaye amechukua
nafasi ya John Simkoko na Habibu Kondo waliokuwa wakifundisha klabu hiyo.
0 Maoni