Taarifa kutoka Yanga ni kwamba wachezaji Abdallah Shaibu na Shomari Kibwana leo Januari 12,  wamepelekwa Tunisia kwa ajili ya kupatiwa matibabu kutokana na majereha walioyapata.




Wachezaji hao wameambatana na Youssef Mohamed Yanga ina majeruhi ni wanne wachezaji wanne ambao ni majeruhi kwenye kikosi hicho “Yacouba Sogne, Kibwana Shomari, Abdallah Shaibu ‘Ninja’