Kocha Mkuu wa Simba Pablo Franco, amesema wana ratiba ngumu jambo linalowafanya kutumia nguvu kubwa kusaka ushindi.
Jana Jumamosi,
Simba ilitoka
sare kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar uliochezwa Uwanja wa Manungu mkoani Morogoro.
Kabla
ya mchezo huo, Simba
imetoka kupoteza mbele
ya Mbeya City kwa
kufungwa bao 1-0.
Jumatano ijayo watakuwa mkoani Kagera kupambana na Kagera Sugar. hizi ni mechi za ligi kuu.
Januari 30, watawakaribisha Dar City kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, ukiwa mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam hatua ya 32
0 Maoni