Meneja
wa Manchester United Ralf Rangnick, amesema anashangaa kiwango cha Marcus Rashford uwanjani baada ya
jana usiku, kuonyesha kiwango kibovu kwenye ushindi wa mwembamba wa bao
1-0 dhidi ya Aston Villa kwenye mchezo wa kombe la FA .
Marcus
anafanya juhudi kubwa kwenye uwanja wa mazoezi ndio maana yupo kwenye kikosi
kilichaoanza mchezo huu lakini sijui kwa nini anapata shida kuonyesha kiwango
hicho kwenye mechi amesema Rangnick.
“Hakuwa
na wakati mzuri kipindi cha pili nikamaua kufanya mabadilko ya kuwaingiza Jesse
na Elanga itakuwa mfano mzuri kwa wengine yeye kufunga sina mashaka kwa
sababu anafanya jitihada kubwa atafunga”
Bao
pekeee la Scott McTominay limetosha kuitupa nje ya michano hiyo Villa iliyo chini
ya Legend wa Liverpool Steven Gerrard.
0 Maoni