BIngwa mtetezi wa ligi kuu ya NBC Simba itawakosa nyota wake
wawili Kiungoa Jonas Mkude pamoja na Kibu Denis kwenye dhidi ya Mtibwa Sugar
Jumamosi Januari 20 mchezo utakao pigwa Manungu Turiani mkoani Morogoro.
Wachezaji hao waliumia kwenye dhidi ya Mbeya City ambayo
Mnyama Simba alipoteza mchezo ya kwanza kwenye ligi msimu huu kwa bao 1-0.
Simba imewasili leo jioni Jnuari 20, mjini Mororgoro kwa ajili ya kujianda na
mchezo huo dhidi ya wakata miwa utakopigwa uwanja Manungu
0 Maoni