Klabu ya Mtibwa
Sugar ya Manungu Turiani, mkoani Morogoro leo Januari 7, 2022 imemtambulisha Salum Mayanga kuwa kocha wa mpya
Mayanga anachukua mikoba ya Joseph Omong ambaye
alitimuliwa Desemba 14, 2021, kibarua
cha kwanza ni kuhakikisha anafanya vizuri kwenye mechi za ligi kuu ya NBC Pamoja
ila Kombe la Shirikisho ya Azam
Licha ya kusajili
nyota kadhaa wakiwemo beki Abdi Banda, na kiungo Said Ndemla Mtibwa wanashika
nafasi ya 13 na alama 10.
0 Maoni