Kocha wa Coastal Union Melis Medo
amechaguliwa kuwa kocha bora wa Ligi Kuu ya NBC kwa mwezi Desemba 2021.
Medo amewashinda Pablo Franco wa Simba na
Nesreddine Nabi wa Yanga walioingia fainali. Mwezi Disemba Coastal Union
ilishinda mechi tatu na kupoteza mchezo mmoja na kupata toka nafasi ya tisa
hadi nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi.
0 Maoni