Mshambuliaji wa Bayern Munich na Poland Robert Lewandowski ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa FIFA 2021 zilizotolewa usiku wa kumkia leo huko Zurich Uswisi.
Lewandowski amewapiku Lionel Messi wa PSG na Mohamed Salah wa Liverpool, staa huyo wa Bayern Munich ameshinda kwa mara ya pili mfululizo akiifikia rekodi ya Cristiano Ronaldo aliyechukua mwaka 2016, 2017
🏆 2016 – Cristiano
Ronaldo
🏆 2017 – Cristiano
Ronaldo
🏆 2018 – Luka Modric
🏆 2019 – Lionel Messi
🏆 2020 – Robert
Lewandowski
🏆 2021 – Robert
Lewandowski
0 Maoni