Nahodha wa timu ya taifa ya Ureno
anayekipiga Manchester United Cristiano Ronaldo ametwaa tuzo ya mfungaji
bora wa magoli kwa timu ya
Taifa katika tuzo za za Fifa zilizotolewa usiku wa kuamkia leo
Zurich, Uswisi
Ronaldo ameweka rekosi
ya kuwa mchezaji aliyefunga magoli mengi kwenye timu ya taifa akifunga magoli
155.
“Tuzo hii ni nzuri sana
sikuwahi kuwaza kama nitaifikia rekodi hii ya magoli 155, ndoto imetimia rekodi
iliyokuwepo ilikuwa 109 sasa nipo mbelel kwa magoli 6 nina furaha sana kupata tuzo
hii ya kipekee kutoka “ amesema Ronaldo
Aidha baada ya kupokea
tuzo hiyo Ronaldo amesema tuzo hiyo anaipokea kama changamoto na kuwapa motisha
wachazaji wa Manchester United kutimiza
malengo yao msimu huu.
0 Maoni