Taarifa kutoka Simba ni kwamba Tripple C Clatous Chota Chama, amepewa jezi namba 17 ambayo msimu ilikuwa inavaliwa na winga  hatari Msenegali Pape Osman Sakho.


Sakho amabye ni mchezaji bora wa mashindano ya kombe la mapinduzi kwa sasa atavaa jezi namba 10 iliyokuwa inavaliwa na Ibrahim Ajibu aliyejiunga na Azam Fc.

 

Simba ipo jijini Mbeya kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Mbeya City mchezo ukaopigwa kesho majira ya saa 10:00 kwenye uwanja wa Sokoine.