Supa Star wa filamu nchini Marekani Arnold Schwarzenrgger jana Januari 21, majira ya saa 10:30 jioni kwa saa za marekani amepata ajali ya gari katika jiji la Los Angeles baada ya kugongana na gari uso kwa uso na gari lingine.
Kwa,mujibu wa polisi wamesema magari manne yaligongana mmoja na majeraha, hata hivyo Arnold anaripotiwa kuwa hajapata majeraha kabisa hii ikithibitishwa na ushahidi wa picha baada ya ajali zinazomuonesha akiwa eneo la tukio lakini dereva katika gari nyingine aina ya Prius aliyegongana amepata majeruhi kichwani na kulazimika kukimbizwa Hospitali.
0 Maoni