Droo ya hatua ya mtoano ya kufuzu kombe la Dunia nchini Qatar mwaka huu kwa Mataifa ya Afrika imetoka leo Januari 22, 2022



Mechi itakayosisimua zaidi ni kati ya Senegal ambao  watacheza na Egpt mchezo ambao utawakutanisha  nyota wa Liverpool Mohamed Salah na Sadi Mane.

Ghana vs Nigeria 🇳🇬 
Egypt vs Senegal
 Cameroon vs Algeria
 DR Congo vs Morocco 🇲🇦
Mali vs Tunisia 🇹🇳