Mbeya City imekuwa timu ya kwanza msimu huu kuifunga Simba kwenye mechi za ligi kuu ya Nbc baada ya kuchomoza na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo uliochezwa leoi Januari 17, dimba la Sokoine.

 


Goli la Mbeya City limefungwa na mshambuliaji Paul Nonga dakika 20 , kwa upande wa Simba walikosa mkwaju wa penati kupitia kwa Chris Mugalu.

Nahodha wa Mbeya City Mpoki Mwakinyuki alitolewa kwa kadi nyekundu katika kipindi chanza dakika ya 43 ya mchezo na kuwafanya kucheza pungufu mpaka mwisho wa mchezo.

 

Kwa matokeo hayo Simba imesalia na alama 24 baada ya kucheza michezo 11 huku Yanga ikiongoza ligi hiyo na alama 32.

kwenye mechi ya awali kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Namungo imeasha kwa suluhu, baada ya mechi hizo huu ni 

Baada ya mechi mbili z leo huu hapa ni msimamo wa ligi ya  Nbc