Klabu ya Simba imeeleza
kupokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha shabiki wake Khalfan Mwambena,
ambaye kwa mujibu kwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Christina Musyani
alijinyonga Jan 17, kabla ya mechi dhidi ya Mbeya City ambao uliisha kwa Simba
SC kupoteza 1-0.
Marehemu aliacha ujumbe kwenye karatasi uliosomeka
naipenda sana Simba I love You Simba nikifa nizikwe na Jezi ya Simba.
0 Maoni