Jana pazia la michuano ya mataifa huru Afrika AFCON limefungulia Rasmi nchini Cameroon kwa Wenyeji Kuibuka na Ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Burkina Faso

Hizi baadhi ya Picha za matukio ya ufunguzi wa wa michuano hiyo