Vinara wa ligi kuu ya NBC Yanga, leo asubuhi  Januari 24 kimerejea Dar es salaam kutokea jijini Arusha na mataji wa alama sita walizopata kwenye michezo miwili ya ugenini.




Alama hizo sita imezipata baada ya kucheza michezo miwili dhidi ya Coastal Union uliopigwa  dimba la Mkwakwani Tanga, na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0.

 




Na mechi ya pili ni jana dhidi ya Polisi Tanzania uliochezwa uwanja wa Shekh Amri Abeid na kushinda bao 1-0 goli likifungwa na  Dickson Ambundo.