Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba Barbara Gonzalenz jana alikuwepo uwanjani kushuhudia mchezo wa kutafuta Mshindi wa Tatu wa Fainali za AFCON 2021  kati Cameroon  dhidi ya Burkina Faso na wenyeji  walifanikiwa kushinda baada ya kuifunga Burkina Faso kwa mikwaju ya penati kufuatia sare ya 3-3.








Barbara yupo Cameroon kwa mwaliko maalum wa Rais wa Shirikisho la Soka Afrika [CAF] Patrice Motsepe kwa ajili ya kushuhudia Fainali Ya Afcon 2021 Senegal dhidi ya  Misri