MTIBWA Sugar imethibitisha kuwa muda wowote kuanzia sasa, itaanza kumtumia winga wao raia wa DR Congo, Deo Kanda baada ya kila kitu kukamilika.
Msemaji wa klabu hiyo, Thobias Kifaru, amesema kuwa walikuwa wanashindwa kumtumia nyota huyo kwa sababu kuna vitu kuhusu uhamisho wake vilikuwa havijakamilika ila kwa sasa kila kitu kipo sawa.
Akizungumza na Championi Ijumaa, Kifaru alisema:
“Tunatarajia kuanza kumtumia Deo Kanda
hivi karibuni. Changamoto ilikuwa upande wa wenzetu kushindwa kutuma
kibali chake.
0 Maoni