Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Bodi ya ligi Kuu Tanzania TBLP katika kikao chake cha Februari 10, 2022 ulipitia mwenendo na matukio mbalimbali kwenye ligi hiyo nakufanya maamuzi yafuatayo.



Mchezaji wa Klabu ya Yanga Dickson Job amefungiwa michezo mitatu ba kutozwa faini ya Tsh 500,000 kwa kosa la kumkanyaga kwenye mbavu mchezaji wa Mbeya City Richardson Ng'ondya jambo lililotafsriwa kuwa ni hatari