Kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo NIKE imesitisha dili la udhamini wake na mwanasoka Mason Greenwood kufuatia sakata la unyanyasaji wa kijinsia lililosambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Adha wachezaji tisa wa Manchester United ambao mame mu-unfollow kwenye kurasa zao za mitandao ya kjamii ni pamoja na Cristiano Ronaldo, David de Gea, Paul Pogba na Marcus Rashford Jesse Lingard Victor Lindelof ni miongoni mwa nyota wenye majina makubwa Manchester United ambao wameacha kumfuata kwenye mitandao
0 Maoni