Manchester City itafanya kila iwezalo kumshawishi mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Erling Braut Haaland kujiunga na klabu hiyo mwisho wa msimu huu licha ya kuhusishwa na Real Madrid.
Haaland (21) anadaiwa kwamba hayuko katika mipango ya Real Madrid kwa sasa , huku klabu hiyo ya Uhispania ikielekeza nguvu kumsaini mshambuliaji wa PSG Kylian Mbappe (23) mwisho wa msimu huu, city inapanga kutumia mwanya huo kumnasa mshambuliaji huyo .
0 Maoni