Mshambuliaji wa
Yanga Fiston Mayele amechaguliwa mchezaji bora Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC
mwezi Januari, 2022.
Kikao cha
kamati ya Tuzo cha TFF kilochokutana mwishoni mwa wiki kilichokutana mwishoni
mwa juma kimemchagua Mayele baada ya kuonyesha kiwango kizuri na kuisadia timu
yake kupata ushindi katila mechi mbili akifunga bao moja na kuhusika kwenye bao moja.
Mayele anakuwa
mcheaji wa tano kushinda tuzo hiyo akiwashinda
Realiants Lusajo wa Namungo Fc, Tepsea Evans wa Azam Fc, alioingia nao fainali.
0 Maoni