Timu ya  taifa ya Misri imeingia hatua ya fainali ya Afcon  baada ya kumfunga mwenyeji Cameroon  kwa penati 3-1 baada ya kutofungana ndani ya dakika 120.

 



Mohamed Salah sasa atakutana na mchezaji mwenzake wa Liverpool Sadio Mane wa Senegal kwenye mchezo wa fainali jumapili

 

Kesho itapigwa mechi ya kusaka mshindi wa tatu kati ya Cameroon dhidi ya Burkina Faso.