Imebainikia kuwa kinda wa Manchester United Mason Greenwood baada ya kupigwa chini na kampuni ya Nike bili kulipwa hata senti moja kutokana na shutuma za ubakaji, udhalilishaji wa kingono na kutishia kuua kwa mpenzi wake Harriet Ribson.

 


Wiki hii Nike walithibitisha kuwa Greenwood sio balozi wa kampuni yao hii ni baada ya hapo hao awali kusitisha kwa mud ana kinda huyo wa Man United.

 

Nike wanaamini kuwa tukio hilo limeachafua na kuwapotezea thamani ya kibiashara, Greenwood alikuwa anatarajiwa kusaini dili hipya mwakani hivyo uamuzi wa kuachana nae umempotezea mamilioni ya Fedha.