Kiungo wa Manchester United Paul Pogba anarejea dimbani leo ijumaa
katika mchezo wa robo fainali ya kombe la FA dhidi ya Middlesbrough
Pobga hajacheza mechi yoyote tangu sate ya 2-2 dhidi ya Atalanta
kwenye ligi ya Mabingwa Nobemba 2021
Hivi karibuni amekuwa kwenye mazoezi kwenye uwanja wa Carrington
chini ya kocha wa muda Rafl Rangnick ambaye kama ataamua kumjumuisha kwenye
kikosi, itakuwa mechi ya kwanza yangu kocha huyo arithi mikoba ya Ole Gunner Solskjær.
0 Maoni