Ligi kuu England inaendelea kutimua vumbi katika viwanja mbalimbali huku echi ya kwanza ikiwa inawakaribisha watakatifu wa St. Mary's Southampton kwenye ndimva la Old Trafford, ratiba ya mechi nyingine ni kama ifuatavyo.


Mechi kati ya Chelsea dhidi ya Arsenal imeahirishwa kwa sababu Chelsea inacheza mchezo wa fainali ya klabu bingwa ya dunia leo.

Premier League