Mwamuzi wa kati Hussein Athumani na mwamuzi msaidizi Godfrey Msabila walioamua mchezo kati ya Yanga dhidi ya Mbeya City wameondolewa kwenye ratiba ya waamuzi  kwa mizunguko mitatu ya ligi kuu kwa kushindwa kutafsiri sheria katika mechi hiyo iliyotamatika kwa Suluhu 0-0.



Adhabu hii ni kwa uzingativu wa kanuni ya 42:1 (1.1) ya Ligi kuu kuhusu udhibiti wa kwa Waamuzi