Staa  wa Manchester United Cristiano Ronaldo ameweka historia mpya ya kuwa binadamu wa kwanza kufikisha wafuasi milioni 400 kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.



Hii ni zaidi ya mara saba ya wafuasi wa Manchester United ambayo ina wafuasi milioni 54.8 kwenye mtandao huo.


Ikumbukwe kuwa Septemba 2021, rnahodha huyo wa  Ureno alikuwa binadamu anayefuatwa zaidi kwenye mtandao huo lakini idadi ya wafuasi wake imeongezeka kwa kiasi kikubwa katika muda wa miezi michache iliyopita.

Hii hpa ni orodha ya watu wenye wafuasi wengi katika mtandao huo👇👇👇👇