Kamati ya maadili ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF, imemfungia kwa miaka mitano kujihusisha na shuguli za mpira ndani n nje ya nchi Mjumbe wa Mkutano mkuu wa TFF Shafii Dauda na pamoja na kumtiza faini ya Sh. mil 6.
Dauda amefungiwa kwa kwenda kinyume na maadili na kanuni za utii za TFF kwa kutoa taarifa za uwongo na kuchochea umma kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram.
0 Maoni