Klabu ya Manchester United imeripotiwa kusaka saini ya Kocha wa Chelsea Thomas Tuchel wakati ambao Miliki wa mabingwa hao wa Ulaya Roman Abromovich akiendelea kuwekea vikwazo mbalimbali kwa madai kuwa ni mshirika wa karibu wa Rais wa Urusi Vladimir Putin.

 


United imeripotiwa  kuwaambia wawakilishi wa Thomas Tuchel kuwajuza juu ya mustakabali kocha huyo endapo ataamua kuondoka klabuni hapo.